Wednesday, 19 June 2013

Kwa uliesikia taarifa za kifo cha Saida Kalori.



.
.
Saida Kalori ameongea na millardayo.com akiwa Mbeya vijijini na kusema amekua akipigiwa simu nyingi sana watu wakitaka kujua kama kafariki kweli, amekua akiambiwa taarifa mbalimbali kuhusu kifo chake… wengine wanasema kapata ajali ya boti iliyozama, wengine kapata ajali ya gari lakini ukweli ni kwamba hakuna lolote lililomtokea, ni mzima wa Afya.
.
.source millardayo official blog

No comments:

Post a Comment