Sunday, 9 June 2013

FULL LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2013


WAFUATAO CHINI HAPO NI WASHIMDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013. WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO
MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZI MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU MSANII BORA ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE MSANII BORA WA KIUME-DIAMOND KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-JAMBO SQUAD MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA-MENSEN SELECTA WIMBO BORA WA BENDI;MASHUJAA-RISASI KIDOLE MTUNZI BORA WA MASHAHIRI -BENDI; CHARLS BABA MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI ;AMOROSSO MSANII BORA WA KIKE-BENDI ;LUIZA MBUTU MSANII BORA WA KIUME-BENDI ;CHARLS BABA BENDI BORA YA MWAKA-MASHUJAA BAND WIMBO BORA WA ZOUK; AMINI -NI WEWE WIMBO BORA WA REGGAE;WARRIORS FROM THE EAST-KILIMANJARO WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL; DABO-PREDATOR MSANII BORA WA HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA HIP HOP; NAY WA MITEGO-NASEMA NAO WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI;JOSE CHAMELEONE-VALUVALU WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA;OMMY DIMPOZ ft VANESSA-ME AND YOU WIMBO BORA WA MWAKA; KALA JEREMIAH-DEAR GOD VIDEO BORA YA MWAKA;OMMY DIMPOZ-BAADAE
HALL OF FAME-KILIMANJARO BAND WANA NJENJE
HALL OF FAME-SALUM ABDALLAH YAZIDU MSANII BORA WA KIKE-LADY JAY DEE

No comments:

Post a Comment