Taarifa ya wizi: Usiku wa kuamkia leo tar 11/6/2013 ndugu yenu Boss Ngasa nimekutana na Majanga baada ya kuvamiwa wezi nyumbani kwangu ninapoishi maeneo ya Arae D Dodoma:
Wezi hao waliovamia nyumbani kwangu ninapoishi walivunja geti kubwa la nyumba usiku wa manane na kufanikiwa kuingia ndani na kuiba Piki piki aina ya SUN LG T 126 BHN, piki piki ilikuwa imefungwa yani imelokiwa kwa hiyo kunauwezekano walikuwa wengi yani ni zaidi ya mmoja na kuibeba juu juu tena kimya kimya bila mtu yeyote kushituka:
OMBI kwa yeyote atakayeiona au mazingira yeyote ya pikipiki ya wizi ambaye haielewi tafadhali naomba atoe taarifa kituo cha police au awasiliane na mimi kupitia 0716 909567/ 0766 909567:
No comments:
Post a Comment