story yote ipo hapa.......
Mtandao huo
wa Ujambazi unajumuisha jumla ya watu nane akiwemo raia mmoja kutoka
nchi Jirani ya Burundi aliyetajwa kwa majina ya THENASE BENJIJIMANA.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam DCP, SULEYMAN KOVA akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari leo mchana, amesema uharamia huo umekuwa ukifanyika zaidi katika eneo la Ufukwe wa Coco.
Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Mtuhumiwa PHILEMON LAIZA kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio la mauaji ya Mfanyakazi wa ndani PERPETUA MAINAB katika eneo la Mikocheni B June 9 mwaka huu.
Hata hivyo Kamanda KOVA amesema Jeshi la Polisi bado linaendelea na Upelelezi wake kuhusiana na matukio yote mawili na watuhumiwa hao watapandishwa Kizimbani mara baada ya Ushahidi kukamilika.

No comments:
Post a Comment