Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.
Amepigiwa simu Diamond ambaye hakuwa
na taarifa zozote kumuuliza kama ni yeye ndiye aliyeandika na amekanusha
kuandika ujumbe huo.
Ujumbe huo kwenye akaunti ya Facebook ya Diamond unasomeka:
Matapeli hao pia wamewahi kutumia majina ya Zitto Kabwe na Ridhwan Kikwete kufanya utapeli huo.
No comments:
Post a Comment