MAREHEMU LANGA AZIKWA JANA JUMATATU 17/6/2013 KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM
Mwili
wa marehemu msanii wa Hip Hop LANGA ukiingizwa kwenye gari kwa ajili ya
kupekewa makaburini Kinondoni Dar es salaam kwa maziko. LANGA alifariki
Alhamisi 13/6/2013 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es
salaam.
Mr & Mrs Kileo wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Langa ni wazazi wa Langa
No comments:
Post a Comment