WANAWAKE WAWILI WAVULIWA NGUO NA KUTEMBEZWA UCHI KWA MADAI YA WIZI
Kulikuwa na kizaazaa katika eneo la transami huko embakasi hapa jijini
baada ya wanawake wawili kuvuliwa nguo na kusazwa uchi wa mnyama. Kisa
na maana walikamatwa kwa madai ya walitaka kumuibia mwanamume mmoja,
ambaye waliandamana naye nyumbani kwake jana usiku kwa starehe. Inadaiwa
walimtilia dawa- bwana huyo akalaa fofofo...aliamkia purukushani
nyumbani kwake.makinika na malimwengu haya .
No comments:
Post a Comment