Huu ndio muonekano mpya wa bandari ya Zanzibar, eneo la bandari ya malindi hasa lile eneo la boti ndogo ziendazo kwa kasi. Kutokana na Serikali kutokuwa na uwezo hali iliyopelekea kushindwa kuliendeleza iliamua kumkabidhi mfanya biashara mzalendo, Bw Said Bakhresa. Hivi ndivyo mfanyabiashara huyo alivyoiboresha
No comments:
Post a Comment