Sunday, 9 June 2013

RAIS KIKWETE AMFARIJI HADIJA KOPPA BAGAMOYO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfaliji msanii wa taarab Hadija Koppa nyumbani kwake mjini Bagamoyo kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuph aliefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifaliji familia na ndugu jamaa wa msaani marufu wa taarab na mjumbe halmashari kuu taifa CCM Hadija Koppa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuph kilicho tokea wiki ilio pita na kuzikwa jijini Dar es salaam.Wa pili kushoto ni waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na wapili kulia ni mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.Mhe Ahmed Kipozi na kulia ni mjumbe wa Halmashari kuu ya taifa CCM ndugu Ridhiwani Kikwete.

No comments:

Post a Comment