Friday, 14 June 2013

KINACHOJILI NYUMBANI KWA MAREHEMU LANGA HUKO MIKICHENI

Picha na story zote ziko hapa....

Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah




Ni Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapna akmuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa

No comments:

Post a Comment