Saturday, 22 June 2013

CHRISS BROWN AKATAA KUFUTA MICHORO KWENYE NYUMBA.



Siku chache baada yam majirani wa Chris Brown kulalamikia michoro ya Graffiti zilizochorwa katika ukuta wa Nyumba ya msanii huyo kwa madai ya kwamba Graffiti hizo zinawatisha watoto wao ambao hupita mbele ya Nyumba hiyio kama inavyonekana pichani.
Majirani waliamua kumpeleka Chriss mbele ya vyombo vya sheria vya jiji la Los Angeles na hatimaye Chris kufunguliwa mashitaka lakini inasemekana amekata rufaa na amedai ya kuwa serikali haina haki ya kumlazimisha kufuta Graffiti hizo kwa kuwa katiba ya Marekani inamlinda.
Kesi hiyo kwa sasa ipo chini ya Dept, of Building and safety's board of appeals na kama hatofanikiwa

No comments:

Post a Comment