Siku ya jana katika mishe mishe zangu nilikutana na ndugu yetu na mwanmuziki mwenzetu,M 2 the P ambae alikuwa ni mtu wa kalibu na marehemu Ngwair...kukutana kwetu tulipata fursa ya kuzungumza mengi nna Mungu akipenda..maybe we gonna do something...
Tukiagana lakini kikubwa nilijiskia faraja sana kukutana nae akiwa na afya njema tofauti na hali aliyokuwa nayo kabla hajarudi nchini
No comments:
Post a Comment