Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na
mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na
pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya
muda mama huyu
alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika
maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata
msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktarihana
sehemu zake za siri
panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
i
No comments:
Post a Comment