Jian Khan enzi za uhai wake |
Taarifa kutoka nchini India zinasema kuwa
Muigizaji maurufu nchini humo "Jiah Khan"
amekutwa amekufa juzi kwa kujiuwa kwa kile
kinachodaiwa aligundua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....
Mama yake na Khan amesema kua alikuta mwili
wa mtoto wake akiwa ameshakufa na Police bado
wanachunguza chanzo cha kifo cha mrembo huyo ila baadhi ya
majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na
kusema kua wanachujua
mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake.....
Jiah Khan amefariki wakiwa na Miaka 25 na alijipatia
umaarufu mkubwa Inchin india baada ya kuigiza na
mkongwe wa tasnia ya movie anaijulikana kama
Amitah Bachchan na pia aliweza kuigiza na Aamir Khan na Akshay Kumar.
mwili wa Jiah Khan ulipelekwa
Hospital kwa uchunguzi zaidi.....
Waomborezaji wakiwa wamebeba jeneza ulimo mwili wa Jiah Khan |
Khan alizaliwa New York na akakulia London kabla ya
kwenda Mumbai India na kujiingiza kwenye
mambo ya sanaa ya uigizaji wa filamu...
Filamu yake ya Mwisho kuigiza inaitwa Housefull a
mbayo ilitoka mwaka 2010..
pichani ni dada wa marehemu Jiah Khan
pichanini mama wa Jiah pamoja na dada yake Jiah
No comments:
Post a Comment