Tuesday, 4 June 2013

MCHEKI HAPA MISS UTALII TANZANIA 2013

Picha: Hadija Said, mshindi wa Miss Utalii Tanzania 2013

miss-utalii-tourism-morogoro-hadija-said-0
Mkoa wa Morogoro watwaa Taji la taifa la Miss Utalii (Miss Tourism) Tanzania 2013, hongera Miss Hadija Said kwa kuwakilisha vyema mkoa wako wa Morogoro,ushindi wako ni ushindi na Fahari ya mkoa wa Morogoro

No comments:

Post a Comment