Monday, 3 June 2013

WATANZANIA WAAGA MWILI WA MAREHEMU NGWEA

Watanzania Nchini South Africa Waaga Mwili Wa ALBERT MANGWEA …

 
Watanzania waishio nchini South Africa, wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa mwanamuziki ALBERT MANGWEA aliefia nchini humo … Hii hapa chini moja ya picha inayoonesha watu wakiaga mwili huo …
Ngwair-SA
Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili kesho jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi.

No comments:

Post a Comment