umati mkubwa mataa ya TAZARA uliojitokeza kumsindikiza Marehemu Ngwair kuelekea muhimbili hospital
MAMIA ya wananchi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake, leo waliupokea mwili wa aliyekuwa msanii nyota wa kizazi kipya, Albert Mangweha maarufu Ngwair aliyefariki duniani Mei 28, mwaka huu nchini Afrika Kusini alikokwenda kwa shughuli za muziki...
No comments:
Post a Comment