Thursday, 6 June 2013

MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA MJINI MOROGORO LEO

uagaji wa mwili wa Msanii Mangwea huko morogoro

 mtangazi wa skonga cha EATV akiwa uwanjani
 Wananchi waliojitoka uwanjani
 Huyu nimmoja kati ya walipoteza fahamu uwanjani
 mama mzazi wa marehemu mangwair
dada na mama wa marehemu mangwair
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akiwasili nyumbani kwa Mama mzazi wa Mangwea.

zoezi la uuagaji wa mwili ukiendelea
Rafiki wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo

M2DA P akilia kwa uchungu baada ya kuuona mwiili wa shahiba wake

No comments:

Post a Comment