MAANDALIZI KATIKA UWANJA WA JAMHURI YA KUUWAGA MWILI WA MAREHEMU NGWEA
Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele
No comments:
Post a Comment