HAYA NDIO MAPOKEZI YA MWILI WA MANGWEA MJINI MOROGORO
picha zote zipo hapa............
Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya JANA
No comments:
Post a Comment