Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport.
T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale Dar-Es-Salaam International Airport.
Wasanii,waandaji,mashabiki na wadau wa muziki wa kizazi kipya tanzania wameungana kupokea mwili wa marehemu Albert Mangwear pale Air Port Mchana leo
No comments:
Post a Comment