Tuesday, 2 July 2013

DAY 2: SHILOLE, MASANJA NDANI YA DOWNTOWN SILVER SPRING

Masanja na shilole katika picha ya pamoja na kikundi cha TRIO CALINTE kinachotumbiza nje ya City Place Mall iliyopo Downtown Silver Spring, Maryland.
Shilole na Masanja wakishangaa shangaa downtown Silver Spring, Maryland.
Shilole katika pozi.
Masanja akipata menyu kwenye mgahawa wa Red Lobster uliopo pembezoni ya mall.
Shilole akipata nae menyu yake.
Hawa kamba ni mwisho.
Shilole na Masanja wakiendelea kupata msosi wa Red Lobster.
Shilole na Masanja wakipata ukodak moment nje ya City Place Mall.
Mwanawane ebu nifyatue kamoja hapa.
Na mimi nipe moja hapa.
Habari kwa hisani ya www.globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment