Saturday, 20 July 2013

Video:Kanye West akimpiga paparazzi kipigo






Kanye West hajawahi kuwa rafiki wa mapaparazzi. Hasira zake kwa watu hao jana zimemfanya amshambulie mmoja wao kwenye uwanja wa ndege wa LAX akitaka kumnyang’anya camera, na sasa anashtakiwa kwa kesi ya jaribio la unyang’anyi, attempted robbery.

No comments:

Post a Comment