Friday, 5 July 2013

VIDEO:MABONDIA JACKLINE WOLPER NA HALIMA MDEE WAKIJIFUA


                                         JACKLINE WALPER


                                           HALIMA MDEE

Ni mazoezi kwa ajili ya pambano lao watakapo
 chapana siku ya tamasha la matumain litakalofanyika
jumapili hii ya tarehe 7,na upande wa bongo fleva ,toto la 
kimanyema,prezdaa himself from WASAFI  ntachuwana na mwanamziki
 nguri nchini Kenya,CMB PREZZO lakin kikubwa 
mtoto wa Jakaya ntakuwa
 na zoezi moja tu..
 kuwathibitishia wana wa Africa mashariki kuwa music mtamu 
ulizaliwa kwanza Tanzania
Huna sababu ya kukosa siku hiyo

No comments:

Post a Comment