Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya Ikulu ya Marekani (White House)
Comedian toka Tanzania, Emanuel Mgaya, maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya Ikulu ya Marekani jijini Washington. Masanja yuko nchini Marekani kwa matembezi na shughuli zake za sanaa na Injili.
No comments:
Post a Comment