Thursday, 4 July 2013

MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI



Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach.

No comments:

Post a Comment