STORI NZIMA HII HAPA
CONTINUE READING: |
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha TEKU wakiwa wanajikisanya kusikia uongozi wa chuo uatoa Tamko gani, huku wakipiga kelele
Baadhi ya wanavyuo wakiwatimua wanafunzi wenzao walio nje na kuwambia kamahawawezi bora warejee makwao
Wakati Vice Chancellor wa TEKU akionge nyuma Dr. Tuli Kazimoto huku nyuma waandishi wa Habari walikuwa wakikatazwa wasichukue habari
Depute Vice Chancellor Academic affairs akiwa katika kikao kifupi na wanafunzi nje ya ofisi
Hili ndilo Tamko Lililo leta utata kwa wanachuo hao wanadai pesa zao za Research
Baadhi ya Mabango waliyo kuwa wameyaandika
Vice Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akiongea na wanachuo wa TEKU na kuwasihi wawe wapole wakati swala lao linafanyiwa kazi
Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halikutambulika Mara Moja alichafua Hewa Baada ya Kuonekana anatetea Tamko la Utawala
Mmoja wa wanachuo wa TEKU akieleza kwa sababu gani wao wanataka pesa hizo
Vice Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akitakla weka Tamko ambalo baadae lilichanwa na wanafunzi hao na kusema ni upuuzi kuwekewa agizo hilo, na kuendelea kudai pesa zao .
Muhasibu wa Chuo kikuu cha TEKU Jeremea Mwakanyerenge akitoa maelezo kuhusu pesa za wanachuo hao ambapo aliwakoroga kabisa na kuwafanya watake pesa zao leo leo
BOFYA HAPA KUSHOTO READ MORE KUPATA PICHA ZAIDI
Sikilizeni sasa
Hatoki mtu hapa
No comments:
Post a Comment