Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa na marafiki na watu wasiojiweza Presenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa mmoja wa wageni waalikwa aliamua kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi pamoja na familia yangu juu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo mbalimbali ya kidunia ndani ya mwezi huu...
Aliweza pia kuongea na Mama yangu mzazi Bi Sandrah,Cuzin Brother Rommy Jones,Dada zangu Esmah & Darlenee ..... Kuzungumzia mambo ya ndani ya kifamilia na n.k
Unaweza ukacheki picha kadhaa za nyuma ya pazia za Interview hiyo ya Take one special ndani ya mwezi wa ramadhani iliyofanyika nyumbani kwangu sinza,bila kusahau utaona kabisa kipindi kizima ndani ya TAKE ONE kwenye luninga yako kupitia Channel ya CLOUDS TV...kila Jumanne saa 9:30 usiku...USIKOSEEEE..!!
|
No comments:
Post a Comment