Sunday, 21 July 2013

ALICHOANDIKA LINAH BAADA KUSEMEKANA AMEBAKWA


Alichokisema Linah baada ya kusambaa kwa maneno kwamba amebakwa baada ya kulewa.

LINAHGPL
Kuna habari ambazo zinaenea kuhusu msanii kutoka Tanzania House of Talent, Estelinah Sanga maarufu kama Linah kwamba akiwa kwenye starehe usiku alilewa na kubakwa. Millardayo.com imeongea na Linah mwenyewe na alikuwa na maneno machache ya kusema kama hivi, “Sio kweli kabisa ni maneno tu hayo, kuthibitisha hilo ni kwamba siku ya tatu leo sijatoka usiku na hayo maneo yanasemwa kwamba nililewa usiku”
linah

No comments:

Post a Comment