Saturday, 20 July 2013

Video:Miili ya wanajeshi waliofia Sudan ikiwasili Nchini



Vilio majonzi na simanzi vimetawala katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati ndege yenye namba B 737-400 iliyobeba miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha nchini sudan ilipokuwa ikikanyaga katika ardhi ya tanzania tayari kupokelewa na ndugu jamaa na marafiki.


 

No comments:

Post a Comment