Friday, 5 July 2013

Cheki Picha Jinsi Masanja na Shilole walivyotembelea VOA na White House, Washington DC



Wasanii Shilole na Masanja wakifanyiwa mahojiano ya Radio na mtangazaji wa VOA idhaa ya Kiswahili, Sunday Shomari.
Kutoka kushoto ni Mery Mgawe, Hadija Riyam, Shilole, Sunday Shomari, Dr. Hamza Mwamoyo, Ilham Dirran, Masanja na Raymond Maro katika picha ya pamoja wakati wasanii Shilole n Masanja walipotembelea studio za Voice Of America Idhaa ya Kiswahili Jijini Washington.
Masanja Mkandamizaji na Shilole mbele ya White House, jijini Washington DC
Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakipata picha nje ya mjengo wa Voice Of America.


Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na Liberatus Mwang’ombe kulia ni watoto waliokua wakipata nao picha za kumbukumbu kutoka kwa wazazi wao (hawapo pichani)

No comments:

Post a Comment