Tuesday, 2 July 2013

OBAMA ALIPOKUWA AKIONYESHA UFUNDI WA KUMILIKI MPIRA UBUNGO.


Baada ya kuonyesha ujuzi akakwea Air Force One kuludi US.
Ata za kichwa naweza JK vp wewe unaweza
Moja...2....3...4 wewe
Kwa vile naondoka ningekuwepo nigeomba tucheze kidogo ...

Hizi picha zimepigwa wakati Marais wote wawili wakiwa katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme Symbion Ubungo mda mfupi kabla ya kuondoka kurudi Marekani.

No comments:

Post a Comment