Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenziHali ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof Jay ambapo ndipo ulipo msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia utaona nyumba kumba ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho. RIP MAMA MAJANJALA
Pichani ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa Black Rhino mwenye tshirt ya kijani
No comments:
Post a Comment