Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam leo july 12, 2013.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013.
No comments:
Post a Comment