Huu ulikuwa wakati maalumu kwaajili ya Dua takatifu kumuomba Mwenyezi Mungu Rehema zake zitawale juu yetu na kutuepusha na mabaya ya dunia na kutufanyia wepesi kwenye maisha yetu ya kila siku sambamba na kuwaombea wasiojiweza,yatima,wajane,wagonjwa na vilema...
Namshukuru Mungu kwa kufanikisha jambo ili kwenda kiufasaha zaidi,napenda pia kumshukuru kila mmoja alieweza kujumuika na mimi na familia yangu kufanikisha dhifa hii........
Napenda kuchukua nafasi hii kukujuza kwa picha mtu wangu wa kweli waeza cheki picha za tukio zima wakati wa Dua inasomwa nyumbani, home sweet home kwa mama Naseeb Sinza...... |
No comments:
Post a Comment