Friday, 5 July 2013

ZITTO KABWE AONGELEA KUHUSU USIKU WA MATUMAINI 2013 JULY 7



Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe akiongelea kuhusu Tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini 2013 litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment