Haya ni mashairi aliyoyaandika Nay wa mitego kwenda kwa mtoto wa Rais a.k.a Riz One akimtaka amwambie baba yake kuwa mtwara hawataki korosho, wanataka gesi na pia Lowassa asiache kugombea urais maana yupo tayari kumpigia kampeni-2015
----------------
MASHAIRI YAKE:
Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela hawamuelewi wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka ges si mtawaua na mkong'oto?!Nani lafiki wa Lowasa anifikishie salam 2015 nataka agombee uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi,
No comments:
Post a Comment