Monday, 1 July 2013

OBAMA AMEKWISHATUA NCHINI TANZANIA



Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa  Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo.

No comments:

Post a Comment