Tuesday 9 July 2013

VIDEO QUEEN WALIOZITENDEA HAKI VIDEO ZA DIAMOND PLATINUM

Kwa mujibu wa mashabiki wa diamond hizi ndio video ambazo video queen wamezitendea haki video zenyewe hizi apa 


leo niliamua kufanya kautafiti kido kupitia
 acount yangu ya facebook nikitaka kujua ni video quenn yupi katendea 
haki video yangu ya nyimbo husika ambapo wengi wameonyesha kumkubali
 zaidi mwanadada Natasha wa video yangu ya Moyo wangu pia mwanadada
 Avril wa Kesho na Jokate ndani ya
 Mawazo,zitizame nawe uone kama walichokisema ni kweli
 ama ni mapenzi yao tu binafsi



No comments:

Post a Comment