Wednesday 10 July 2013

AIBU:TAZAMA PICHA NA VIDEO YA RIHANNA AKIWA KALEWA CHAKALI MPAKA KUSHINDWA KUTEMBEA NA KUWA KITUKO

 


1464899-rihanna-lakers-game-photos-of-the-week-617-409
Bad girl Riri alikuwa Poland siku kadhaa zilizopita na kilichotokea huko kimekuwa headline kama kawaida ya Rihanna. Rihanna alikuwa kwenye moja ya concert zake huko barani Ulaya. Katika siku kadhaa alizokuwa huko Poland, Rihanna alitumia muda wake kadhaa kwenye beach kupunga upepo na muda mwingine kwenda kwenye concert. Kituko cha kwanza kilichomkuta Rihanna ni pale alipokwenda beach na kujikuta anazungukwa na watu kama Simba akiwa Zoo, watu wengi walikuwa wamezunguka kumuangalia Rihanna akiwa Beach.
ifwt_rihanna4
Watu wakimshangaa RIhanna akiwa Beach
ifwt_rihanna-1
Tweet ya Rihanna akizungumzia yaliyomkuta Beach

Siku nyingine Rihanna akiwa hukohuko Poland bata likahamia kwenye concert na inadaiwa kwamba Rihanna alitoka kwenye club hiyo akiwa amelewa kiasi cha kushindwa hata kutembea. Cheki hii video inayomuonyesha Rihanna akijaribu kutembea lakini anashindwa hadi anasaidiwa na msaidizi wake wa pembeni


rihanna-sopot-poland-jacquie-aiche-body-chain-fleet-ilya-visor-rihanna-for-river-island-skirt-mikoh-mundata-top-miu-miu-sandals

                          Rihanna akiondoka Beach baada ya mambo kuwa magumu
 

No comments:

Post a Comment