Wednesday 10 July 2013

MAAJABU HAYA:ICHEKI GARI YA KWANZA INAYOTEMBEA NA KUPAA DUNIANI

gari yenyewe ndio hii hapa sasa tu wangu...........

Terrafugia the World's first Flying Car

Terrafugia the World's first Flying Car Terrafugia the World's first Flying Car
Kampuni ya Terrafugia kwa mara ya kwanza dunia imetengeneza gari yenye uwezo wa kupaa. Gari hiyo ina mabawa  ambayo itaisaidai wakati wa kupaa na kutua pia ina betri yenye uwezo wa kuchajiwa

No comments:

Post a Comment