Monday, 18 March 2013

KAULI YA RAIS KUHUSU VIFO VYA AKINA MAMA

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMESEMA HAJARIZISHWA NA KASI YA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO LICHA YA SERIKALI KUONGEZA JUHUDI KATIKA SUALA HILO IKIWEMO KUONGEZA BAJETI KATIKA WIZARA HUSIKA KUTOKA BILIONI 271 HADI KIFIKIA TRILIONI 1.5.
.Rais Jakaya Kikwete ameeleza kutoridhishwa na kasi ya kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na kutaka hatua zaidi zichukuliwe kuhakikisha tatizo hilo linaisha huku akieleza jitihada zinazofanywa na serikali ikiwemo ongezeko la bajeti ya wizara ya afya kutoka bilioni 271 hadi kufikia trilioni 1.5.

No comments:

Post a Comment