Monday, 18 March 2013

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AFARIKI DUNIA

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI KATIKA MATAA YA KUONGOZA MAGARI YALIYOPO BANAGA JIJINI DAR ES SALAM NA KUFARIKI HAPO HAPO.

BREAKING NEWS

Askari wa usalama barabarani katika mataa ya kuongezea magari yaliyoko eneo la Bamaga Dar es Salaam amegongwa na gari na inadhaniwa amekufa papo hapo.

Endelea kusikiliza @[390756010942311:274:East Africa Radio] kwa habari zaidi.

No comments:

Post a Comment