Friday, 15 March 2013

BONGO EPIQ STAR SEARCH NDANI YA MTWARA

EPIS BONGO STAR SEARCH NDANI YA MTWARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 23/03/2013 WAKAZI WA MTWARA NA JIRANI KAENII MKAO WA KULA. NA HII ITAKUA PALE VIWANJA VYA UMOJA KWA KIINGILIO CHA SH 2000 TU.
Epiq Day na Epiq Stars ndani ya Mtwara, weekend ijayo Jumamosi ya tarehe 23/03/2013. Katika uwanja wa Umoja kwa kiingilio cha buku mbili tu. Usikoseeee!

No comments:

Post a Comment