Thursday, 14 March 2013

HIVI UNAZUNGUMZIAJE KUHUSU HUYU DOGO ALIMUOA BIBI WA MIAKA 61?

UNALIONGELEAJE HILI SUALA LA HUYU DOGO KUMUOA BIBI WA MIAKA 61 YEYE AKIWA NA MIAKA 8 AU WEWE MTU WANGU UNAAMINI KWELI UWEPO WA MIZIMU YA NAMNA HII? FUNGUKA MTU WANGU. 
Unazungumziaje stori ya dogo Sanele Masilela mwenye umri wa miaka 8 wa Afrika Kusini kuoa mwanamke mwenye miaka 61 Bi. Helen Shabangu, katika kutimizia matakwa ya mizimu?

Je, unaamini kuna mizimu? Imeshawahi kukutokea? Je, unaamini kutokewa na kupewa maagizo na ndugu, jamaa au marafiki waliokwisha kufa?

No comments:

Post a Comment