Monday, 18 March 2013

ABDALLAH HAMIS AMBUA APATA AJALI

MTANGAZAJI WA REDIO NA TV WA EAST AFRICA RADIO NA TV AMEPATA AJALI LEO ASUBUHI WAKATI ANAELEKEA KAZINI KUFANYA KIPINDI, AJALI HIYO IMETOKEA MAENEO YA MAGOMENI ILA YEYE ANAENDELEA VZURI ILA HALI YA GARI YAKE SIO NZURI.
HII NI PICHA YA MTANGAZAJI ABDALLAH HAMIS AMBUA(DULLAH)
Pole Dullah kwa ajali ya Gari.

Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo Abdallah Ambua (Dullah) ambaye kwa bahati mbaya leo asubuhi wakati anaelekea kazini kufanya kipindi East Africa Radio amepata ajali ya gari. 

Abdallah amesema amepata ajali hiyo akiwa maeneo ya Magomeni katika mataa lakini yeye anaendelea vizuri ila tu gari yako ndo imeharibika vibaya.

No comments:

Post a Comment