Wednesday, 13 March 2013

HUKO VATICAN KUMENUKA

 Hali si shwari huko vatican city kwan bado hakijafahamika nani atakaye kua Papa mpya.
 
 Moshi mweusi umetokeza katika paa la Hekalu mjini Vatican, kumaanisha kuwa bado makadinali hawajaafikiana juu ya nani Papa mpya.
Moshi mweusi umetokeza katika paa la Hekalu mjini Vatican, kumaanisha kuwa bado makadinali hawajaafikiana juu ya nani Papa mpya.

No comments:

Post a Comment