ASKARI WA USALAMA BARABARANI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI KATIKA MATAA YA KUONGOZA MAGARI YALIYOPO BANAGA JIJINI DAR ES SALAM NA KUFARIKI HAPO HAPO.
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMESEMA HAJARIZISHWA NA KASI YA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO LICHA YA SERIKALI KUONGEZA JUHUDI KATIKA SUALA HILO IKIWEMO KUONGEZA BAJETI KATIKA WIZARA HUSIKA KUTOKA BILIONI 271 HADI KIFIKIA TRILIONI 1.5.
MTANGAZAJI WA REDIO NA TV WA EAST AFRICA RADIO NA TV AMEPATA AJALI LEO ASUBUHI WAKATI ANAELEKEA KAZINI KUFANYA KIPINDI, AJALI HIYO IMETOKEA MAENEO YA MAGOMENI ILA YEYE ANAENDELEA VZURI ILA HALI YA GARI YAKE SIO NZURI.
HII NI PICHA YA MTANGAZAJI ABDALLAH HAMIS AMBUA(DULLAH)
EPIS BONGO STAR SEARCH NDANI YA MTWARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 23/03/2013 WAKAZI WA MTWARA NA JIRANI KAENII MKAO WA KULA. NA HII ITAKUA PALE VIWANJA VYA UMOJA KWA KIINGILIO CHA SH 2000 TU.
UNALIONGELEAJE HILI SUALA LA HUYU DOGO KUMUOA BIBI WA MIAKA 61 YEYE AKIWA NA MIAKA 8 AU WEWE MTU WANGU UNAAMINI KWELI UWEPO WA MIZIMU YA NAMNA HII? FUNGUKA MTU WANGU.
HAPA AKIWA AMEPOZI BAADA KUFANYIWA OPARESHENI YA HIPS ZAKE
Lady Gaga
Mara baada ya kufanyiwa oparesheni, Lady Gaga ameketi kwenye ambacho kimetengenezwa kwa kutumia dhahabu. Kiti hiki kimetengenezwa na fundi sonara aliyejulikana kwa jina Ken Borochovi.