Monday 1 July 2013

SINTAH AJA JUU KUHUSU BLOGGERS KUTUMIA PICHA ZA ZAMANI ZA NUSU UCHI ZA AUNTY EZEKIEL



"Waandishi wa habari jamani fanyeni staha mnajua huyu ni muke ya mutu kwanini mnatumia pics zake za zamani?? kwani hana pics mpya?? maana hii ni nzito kwa mume hebu tofautisheni alivyokuwa aunt na sasa ni muke jamani kuweni na utu, maana kucha kutwa bloggers wanatumia hii pic leo nimeamua kusema ukweli, yaani mnanikera sana na hii pic" Says Sintah

No comments:

Post a Comment